Pages

Tuesday, January 7, 2014

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALI TAARIFA KWA WANAHABARI MKUTANO WA KUTANGAZA MATOKEO YA SENSA YA TEMBO NCHINI

220px-Coat_of_arms_of_Tanzania.svg 
Tafadhali husika na kichwa tajwa hapo juu. Mhe. Naibu Waziri, Lazaro Nyalandu atakutana na Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini na wadau mbalimbali wa sekta ya Maliasili na Utalii kutangaza rasmi matokeo ya sense ya tembo iliyofanyika mwezi Oktoba na Novemba mwaka jana katika mifumo ikolojia ya Selous – Mikumi na Ruaha – Rungwa. Wizara inatoa mwaliko kwa waandishi wote kuhudhulia mkutano huo utafanyika Ijumaa ya Tarehe 10/01/2014 saa 4:00 asubuhi katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Imetolewa na Chikambi K. Rumisha Msemaji wa Wizara ya Maliasili na Utalii 7/1/2014

No comments:

Post a Comment