Pages

Tuesday, January 7, 2014

KAKA AIFUNGIA MILAN BAO LA 100.

kaaka1 47872
  Jana usiku kiungo wa AC MILAN raia wa Brazil Ricardo KAKA ameifungia timu yake mabao mawili kwenye ushindi wa mbao 3-0 dhidi ya ATALANTA kwenye mchezo wa Serie A. Kaka kabla ya mchezo wa leo alikuwa ameifungia Milan mabao 99

No comments:

Post a Comment