Pages

Tuesday, January 7, 2014

KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM (NEC) ZANZIBAR CHAFANYIKA



TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
TA1A7650Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) wakipitia mada mbali mbali zilizoingizwa katika makbrasha waliyopewa katika kikao kilichofanyika jana katika ukumbi Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] TA1A7651Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) wakifahamishana jambo wakati wa kikao cha siku moja cha  Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
TA1A7666Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinnduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, katika  Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] TA1A7668 Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) wakipitia mada mbali mbali zilizoingizwa katika makbrasha waliyopewa katika kikao kilichofanyika jana katika ukumbi Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] TA1A7674 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinnduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana, Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja, (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] TA1A7679Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinnduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akizungumza na wajumbe wa  kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana, Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja, (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment