Pages

Friday, January 24, 2014

MALORI YAANZA KUPITA KWENYE DARAJA LA DUMILA BAADA YA MATENGENEZO YA AWALI

 Waziri wa ujenzi John Magufuli akiruhusu  Lori la kwanza kupita katika daraja la Dumila wilayani Kilosa  baada ya mainjinia wa wizara hiyo kukesha  usiku kucha kutengeneza daraja hilo.

 Waziri Magufuli bakitoa maagizo katika daraja hilo.
 Magufuli akihimiza kukamilika kwa kazi ya daraja hilo ili magari yaweze kupita.

No comments:

Post a Comment