Pamoja na misukosuko yote ya ligi na vikombe tofauti bado club ya manchester united imeendelea kupata mashabiki wa kutosha toka kila kona ya dunia.mpaka kufikia jana Manchester united ilikuwa imefikisha mashabiki milioni 39 katika mtandao wa facebook.
UTENDAJI KAZI KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA TANESCO WAMKWAZA DKT. BITEKO
-
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameeleza
kutoridhishwa kwake na Kituo cha Huduma kwa wateja cha Shirika la Umeme
Tanzania ...
26 minutes ago
No comments:
Post a Comment