Pamoja na misukosuko yote ya ligi na vikombe tofauti bado club ya manchester united imeendelea kupata mashabiki wa kutosha toka kila kona ya dunia.mpaka kufikia jana Manchester united ilikuwa imefikisha mashabiki milioni 39 katika mtandao wa facebook.
No comments:
Post a Comment