Aliyekuwa
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii na sasa ni Waziri wa Ulinzi na jeshi
la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi (kushoto) akizungumza na
watendaji wa wizara hiyo (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya
ofisi na aliyekuwa Naibu Waziri wake na sasa ameteulikuwa kushika
nyadhifa ya Uwaziri Dkt. Seif Rashid (kulia), anayefuata ni Naibu Waziri
wa Wizara hiyo Dkt. Kebwe S. Kebwe.Makabidhiano hayo yamefanyika
kwenye ukumbi wa Waziri, wizarani hapo.TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)
Waziri
wa Afya na Ustawi wa jamii Dkt. Seif Rashid (kulia) akizungumza na
watendaji wa wizara hiyo (hawapo pichani) na kutoa shukrani zake za
dhati kwa aliyekuwa Waziri wake Dkt. Hussein Mwinyi kwa ushirikiano
wake kipindi alipokuwa akiongoza wizara hiyo. Naibu
Waziri Dkt. Kebwe S. Kebwe akizungumza na watendaji wa wizara hiyo na
kuwataka kufanya kazi kwa ushirikiano na mahusiano mazuri ili
kukabiliana na changamoto zinazoikabili sekta hiyo Waziri wa Ulinzi Dkt. Mwinyi akiteta jambo na katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jami, Charles Pallangyo. Mawaziri hao wakisaini vitabu vya makabidhiano ya Muundo na Utekelezaji wa Wizara
Aliyekuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Hussein Mwinyi
kushoto akimkabidhi kitabu hicho Waziri Mpya wa Wizara hiyo Dkt. Seif
Naibu Waziri Dkt. Kebwe kulia, akikabidhiwa kitabu na Waziri Dkt. Mwinyi
Mawaziri
hao wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya makabidhiano pamoja na
watendaji wa wizara hiyo. Wa kwanza kushopto waliokaa ni Katibu Mkuu,
Charles Pallangyo, aliyekuwa Waziri wa afya na ustawi wa jamii Dkt.
Mwinyi, Waziri mpya wa wizara hiyo Dkt. Seif nna wa mwisho kulia ni
Naibu Waziri Dkt. Kebwe S. Kebwe ( Picha zote na Catherine
Sungura-MOHSW)
DC Mpogolo apokea taarifa uboreshaji Shule za Msingi Olympio Diamond,
Zanaki Bunge, Mzizima na Kisutu
-
Na MWANDISHI WETU
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amepokea taarifa maalumu ya
mikakati ya uboreshaji wa Shule za Msingi Olympio Diamond, Zana...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment