![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi4xmav4jOA_DWp9d4G9EXWFqEWdgpZZadwfoI3fC1IyocVkqHUEXu5zbKOjBxLck7BGM5lkV38oK6nf95q6vgh0ZAsY2FgaonCUZJHK1Zd8y9XTk3RT5r3R5Yx4QhcQbLuJrTMLQpgQ7k/s1600/unnamed+%2814%29.jpg)
Wilfred
Ringo na Doktael Ringo, wazazi wa mwandishi wa gazeti la Habari Leo
Mkoani Manyara, marehemu Fortunatha Ringo, wakiuaga mwili wa mtoto wao
aliyefariki jijini Dar es salaam Januari 10 mwaka huu na kuzikwa
kijijini Mdawi Old Moshi, Januari 13 mwaka huu.
Baadhi
ya waandishi wa habari wa mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro,
wakibeba jeneza lenye mwili wa mwandishi wa habari wa gazeti la Habari
Leo Mkoani Manyara, marehemu Fortunatha Ringo aliyefariki dunia Januari
10 mwaka huu jijini Dar es salaam kwa ugonjwa wa kuishiwa damu na
kuzikwa Januari 13 kwenye kijiji cha Mdawi Old Moshi.
Jeneza
lenye mwili wa mwandishi wa habari wa gazeti la Habari Leo Mkoani
Manyara, marehemu Fortunatha Ringo aliyefariki dunia Januari 10 mwaka
huu jijini Dar es salaam kwa ugonjwa wa kuishiwa damu, likiingizwa
kaburini na kuzikwa Januari 13 kwenye kijiji cha Mdawi Old Moshi.
Mwandishi
wa gazeti la Mwananchi mkoa wa Manyara, Joseph Lyimo (kushoto) na
Meneja wa Radio Safina ya Arusha, Jovin Msuya wakiweka shada la maua
kwenye kaburi la marehemu Fortunatha Ringo, mwandishi wa habari wa
gazeti la Habari Leo Mkoani Manyara aliyefariki Januari 10 jijin Dar es
salaam na kuzikwa Januari 13 kijijini Mdawi Old Moshi.
No comments:
Post a Comment