Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 28, 2014

MTEMVU AZINDUA BONANZA LA MAVETERANI YOMBO MAKANGARAWE,TEMEKE

Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Matemvu akikagua timu ya Veterani ya Yombo Kilakala wakati wa uzinduzi wa michuano ya maveterani ya Ujirani Mwema, katika Kata ya Yombo Kilakala, Temeke, Dar es Salaam juzi. Timu 12 kutoka sehemu mbalimbali za jiji zilishiriki kwenye michuano hiyo. Timu hiyo ilicheza na Kigamboni Veterani.
Mtemvu akikagua timu ya Kigamboni Veterani. Kushoto ni Diwani wa Kata ya Makangarawe, VictorMwakasendile.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mtemvu akihutubia wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo, ambapo aliahidi kuyadhamini kwa timu zote kuzinunulia jezi za TMK. Kushoto ni Mwakasendile na Mungia Mbwana mratibu wa michuano hiyo.
Timu za New Kivule Veterani (waliovaa Bluu) na Kitunda (waliovaa bluu nyeusi) wakipepetana
Ni mtanange kwa kwenda mbele
Hapiti mtu hapa
Sasa nawatoka
Wanachi wakishuhudia mpambano huo
Timu za Yombo Makangarawe Veterani (BLUU)  wakicheza na Kigamboni Veterani huku wananchi wakishuhudia
Mlinda mlango wa Kigamboni akiwania mpira na mchezaji wa Yombo Makangarawe

No comments:

Post a Comment