UPDATED NEWS--MWANAMKE ANASWA USIKU HUU AKITAKA KUMTOROSHA MFANYAKAZI WA NDANI KWENDA DAR
Wananchi wa Frelimo mjini Iringa wakiwa wamemweka chini ya ulinzi mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Zuhura Angero ambae anatuhumiwa kutaka kumtorosha binti wa kazi kwa ajili ya kwenda Dar es Saalam kufanya kazi za ndani
Mwanamke aliyekamatwa akitaka kumtorosha binti kwa ajili ya kazi za ndani
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
Mwanamke huyo akiwa na binti aliyetaka kumtorosha
Hapa akiwa chini ya ulinzi wa polisi jamii.PICHA NA FRANSIS GODWIN
No comments:
Post a Comment