Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 28, 2014

MWANDISHI WA BBC ANN WAITHERA AFARIKI


Marehemu Ann Waithera enzi za uhai wake

Ann alikuwa anafanya kazi na BBC katika ofisi za Nairobi na amekuwa akiiugua Saratani kwa karibu miaka miwili.
Ann aliwahi kuwa ripota wa BBC mjini Addis Ababa Ethiopia.
Kabla ya kujiunga na BBC Ann alifanya kazi na shirika la habari la Nation Media Group nchini Kenya na Citizen TV. Ann alikuwa na umri wa miaka 39. Mungu ailaze roho ya Ann mahala pema peponi

No comments:

Post a Comment