Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Silima(katikati) akitoa
taarifa ya Mafanikio ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika kipindi
cha Serikali ya Awamu ya Nne kwa Waandishi wa Habari(hawapo pichani) leo
Januari 21, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano, Makao Makuu ya Jeshi la
Polisi, Jijini Dar es as Salaam(kulia) ni Kamishna wa Utawala wa Jeshi
la Polisi, Clodwing Mtweve(Kushoto) ni Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya
Habari na Maelezo, Bw. Assah Mwambeni.
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja akiwa pamoja na
Viongozi Wengine Wakuu wa Idara zilizo chini ya Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi wakati Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.
Pereira Silima akitoa taarifa rasmi ya Mafanikio ya Wizara ya Mambo ya
Ndani katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Nne(wa pili kulia) ni
Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji, Sylivester Ambokile(kushoto) ni
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Nchini, Pius
Nyambacha. Baadhi
ya Wakurugenzi mbalimbali wa Idara za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
wakifuatilia kwa makini taarifa ya Mafanikio ya Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Nne iliyotolewa na
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Prereira Silima kwa
Waandishi wa Habari leo Januari 21, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano,
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, Jijini Dar es Salaam(Picha zote na Lucas
Mboje wa Jeshi la Magereza).
No comments:
Post a Comment