Pages

Tuesday, January 21, 2014

Ahadi ya DIAMOND imetimia na hiki ndicho alichokifanya leo



Kama unakumbukumbu nzuri wakati nafanya tamasha langu la Christmass na Ngololo niliuliza mtoto atakae cheza vizuri Ngololo na kushinda nimpe zawadi gani?…na wengi walisema Nimuendeleze kielimu…. Hawa ndio washindi wetu walioshinda siku ile, ambao siku ya leo niliwapeleka Rasmi katika Shule ya East Africa International School iliyopo Mikocheni Dar es salaam ili waanze Masomo yao…Niliona ni vyema kama mtoto yupo shule ya kawaida nimuhamishe international school ili niweze kumsaidia elimu bora zaidi…Niushkuru pia uongozi Mzima na wanafunzi wa Shule ya East Africa International School kwa kuwapokea vizuri.
 TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)



 Simpo,mmoja wa waratibu akiwa 
ameongozana,na washindi wa ngololo Dancing

 Nikisarimiana na mkuu wa shule bi,Mercy Githirua
 Nilipata nafasi ya kuzungmza na
 wanafunzi na kuwausia mambo
 mbalimbali ya kimaisha....






 Ofisin kwa mkuu wa shule tukimalizia
 taratibu za kuwaandikisha shule watoto

Niliongozana na wazazi wao pia
 Wakipitia form za usajiri

No comments:

Post a Comment