Pages

Sunday, January 19, 2014

NAPOLI: WATANZANIA WAAGA MWILI WA MAREHEMU MAULIDI HAMID ABDALLA (KIDISHI)


Viongozi wakuu wa jumuiya za Watanzania Italy  katika picha ya pamoja baada ya kusimamia kuaga mwili wa Mtanzania marehemu MAULIDI HAMIDI ABDALLAH tayari kusafirishwa kupelekwa nyumbani Tanzania kwa mazishi. Kutoka kushoto ni Mh. Kagutta N.M (katibu mkuu wa Jumuiya ya Watanzania Italy) anaefuata ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Rome Mh. ERASMUS PINDU LUHOYA na anemfuata ni Mh ABDULRAHAMAN A.ALLI (mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Italy) na wa mwisho kulia ni Katibu  wa Jumuiya ya Watanzania Rome Mh. ENDREW  C.MHELA


 

No comments:

Post a Comment