Pages

Friday, January 24, 2014

PICHA ZA MAFURIKO DUMILA MKOANI WA MOROGORO

  Baada ya mati moja kukutwa ikieleza kwenye mto mkundi,baadhi ya waanchi wa Dumila wakiwa kando kando ya mto huo kuangalia kama kuna maiti nyingine,marehmu huyo alisombwa na maji hayo akiwa shambani kwake 
 Mahakama ya Kijiji cha Magole nayo ilijaa maji na baadhi ya mafaili ya washitakiwa kudaiwa kusombwa na mafuriko hayo

             Mama akiokoa vyombo vyake

        Jamaa wakiopoa boda boda yao

 Hatari watoto wakiogelea kwenye maji hayo ya mafuriko .

 Wananchi wakihangaika kuokoa vyombo vyao
              Sehemu ya daraja iliyokatika.
Picha zote na Dustan shekidele,Morogoro

No comments:

Post a Comment