Hizi ni baadhi ya Picha zinazoonyesha
utamu utakaokuwepo ndani ya Video ya Weusi ya ngoma ya nje ya box
inayomilikiwa kihalali na NIKKI WA PILI akiwashirikisha member wenzake
wa Kundi hilo JoeMakini na GNakko.
Video Directed by Nisher Kupitia Nisher
Entertainment na itakuwa Mtaani rasmi siku ya kesho January 24 2014
KUANGALIA KIPANDE CHA VIDEO HIYO CLICK HAPA
No comments:
Post a Comment