Pages

Thursday, January 23, 2014

PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA JOH MAKINI NA NIKKI II "NJE YA BOX"

4
Hizi ni baadhi ya Picha zinazoonyesha utamu utakaokuwepo ndani ya Video ya Weusi ya ngoma ya nje ya box inayomilikiwa kihalali na NIKKI WA PILI akiwashirikisha member wenzake wa Kundi hilo JoeMakini na GNakko.
Video Directed by Nisher Kupitia Nisher Entertainment na itakuwa Mtaani rasmi siku ya kesho January 24 2014 
KUANGALIA KIPANDE CHA VIDEO HIYO CLICK  HAPA

6
5
3
2
1

No comments:

Post a Comment