Mwili
wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk.William Mgimwa umewasili nchini kwa
ndege ya shirika la Kenya (KQ) na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa
chama na Serikali wakiongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
Sefue pamoja na Mawaziri mbalimbali na Wabunge.
WAZIRI NDUMBARO-PROGRAM YA MAMA SAMIA LEGAL AID NI MKOMBOZI KWA WANYONGE
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
WAZIRI wa Katiba na Sheria Mhe Dkt Damas Ndumbaro ameeleza kuwa katika
Mikoa 11 waliyopita katika Kampeni ya Mama Sami...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment