JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
JESHI LA MAGEREZA TANZANIA BARA
JESHI LA MAGEREZA TANZANIA BARA
![](http://2.bp.blogspot.com/-ousKitOGGzU/UtF41Lm6CwI/AAAAAAACl7s/b0PrYktOC3E/s280/Untitled.jpg)
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja na Maafisa, Askari na
Watumishi raia wote wa Jeshi la Magereza wanatoa salamu za rambirambi
kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete, Wizara ya Fedha na Familia ya aliyekuwa Waziri wa Fedha
Marehemu Dkt. William A. Mgimwa.
Jeshi la Magereza litamkumbuka kwa ushauri wake na ushirikiano aliouonyesha akiwa Waziri wa Fedha katika kufanikisha maendeleo na ustawi wa Jeshi la Magereza.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

No comments:
Post a Comment