Hata hivyooo marekebisho yaliyofanywa bado uwanja huu haujaruhusiwa kuchezewa mechi kwani sehemu ya kuchezea bado haijakauka vizuri,Hivyo mechi ya Prisons iliyotakiwa kuchezwa jumamosi imehamishwa uwanja.Mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara unaanza Jumamosi (Januari 26 mwaka huu) kwa mechi tano katika miji ya Bukoba, Dar es Salaam, Tanga wakati mechi ya Tanzania Prisons na Ruvu Shooting inahamishiwa uwanja mwingine.TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE) |
No comments:
Post a Comment