Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, January 9, 2014

UKIWA NA PESA FANYA UNACHOWEZA,HII NDIO SWIMMING POOL ANAYOJENGA DIAMOND KWENYE NYUMBA YAKE MPYA JIONEE

Superstar Diamond Platnumz ametupia picha za project yake ya mjengo wake mpya unaoendelea kujengwa ukiwa na swimming pool. Diamond hakika ni mpenzi wa kuogelea na tueweza kuona hilo kupita picha zake nyingi ambazo huwa anatupia kwenye mtandao. Na kama mtakumbuka vizuri kuna birthday yake moja aliisha wahai kuifanyia kwenye swimming pool somewhere in Dar. 
Kupitia instagram yake Diamonda amepost picha hii na kuandika: "Wachina wa nini wakati Watanzania Wenzangu wanaweza pia???... #SwimmingPool #MyNewHome! Can't wait"



 



Diamond ni kijana anaejituma sana katika kazi zake na anastahili kuishi maisha ayapendo. Hongera nyingi kwake.

WACHA MOVIE IENDELEEE......

No comments:

Post a Comment