Pages

Tuesday, January 7, 2014

UKWELI JUU TETESI ZINAZOENDELEA KUVUMA Kuwa MSANII ZAY B AMEKUFA NI HUU HAPA.

Tumefatilia taarifa za kifo cha msanii Zay B toka taarifa hizi zianze kusamba asubuhi ya Tarehe 5/1/2014.

 


Taarifa hizi inasemekana zimetangazwa na kituo cha radio Hapa Tanzania kuwa msanii Zay B Amefariki na baada ya muda mfupi message na simu za pole zikamiminika kwa familia ya Zay B bila kujua kinacho endelea.


TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)  

tumezungumza na mmoja ya Wanafamilia ya Zay na kupata ukweli kuwa yuko hai na salama kabisa. Hii ni post yake kwenye kurasa yake ya Facebook saa mbili zilizo pita

No comments:

Post a Comment