Pages

Tuesday, January 28, 2014

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 28/01/2014


WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 28/01/2014.
[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Ruvuma  na Rukwa]:
Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika   baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Morogoro (Kusini) na Mtwara]:
[Mikoa ya Kigoma na Tabora]:
[Mikoa ya Kagera na Mwanza]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Lindi]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mara na Shinyanga]:
Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:
[Mikoa ya Tanga, Dar es salaam na  Pwani]:
[Mkoa wa Morogoro (Kaskazini)]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
30°C                          
14°C               
12:38
12:52
D'SALAAM
33°C           
26°C
12:21
12:47
DODOMA
29°C
20°C
12:37
12:59
KIGOMA     
30°C
21°C
01:02
01:22
MBEYA
25°C
13°C
12:41
01:13
MWANZA
28°C
18°C
12:53
01:05
TABORA
30°C
19°C
12:50
01:10
TANGA
33°C
25°C           
12:25
12:45
ZANZIBAR
33°C           
23°C           
12:21
12:47
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani
                            Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani Kusini .
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa siku ya Alhamisi: 30/01/2014: Mabadiliko kidogo   
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 28/01/2014.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

No comments:

Post a Comment