Pages

Tuesday, January 28, 2014

MKE WA MKUU WA MKOA MSTAAFU WA MOROGORO MH MASHISHANGA AFARIKI DUNIA

 Familia ya Mzee Steven Mashishanga wakiwa katika maombolezo ya msiba wa mke wa Mashishanga Suzana aliyefariki jana. Rais  Kikwete naye alipata fulsa ya kumtembela Mgane ashishanga na kutoa rambirambi zake.
 Pole sana Mzee, Mungu akupe nguvu, sio jambo jepesi, ni kazi ya Mungu jipe Moyo Utashinda, Bwana ametoa na leo ametwaa jin lake lihimidiwe, amina, Ni katibu wa CCM mkoa wa Morogoro akimwambia Mzee Mashishanga huku akiwa amemkumbatia.
Mzee Mashishanga akiwa amejiinamia katika msiba huo, Mbele yake nyuma yetu, amina.

No comments:

Post a Comment