Taarifa
inasema abiria 28 wakiwemo watoto wanne wamejeruhiwa kwenye ajali ya
hili basi la Shabiby baada ya kugongana na lori la mafuta lililokua tupu
hivyo kupinduka kwenye kijiji cha Kisaki kwenye barabara kuu kutoka
Singida kwenda Dodoma.Taarifa zimethibitishwa na mkuu wa Wilaya ya
Singida na kwamba dereva wa basi alikimbia baada ya ajali kutokea saa
sita na dakika 50 mchana.
Benki ya Absa Tanzania yazindua akaunti ya akiba ya kikundi.
-
Benki ya Absa Tanzania imezindua bidhaa mpya, Akaunti ya Akiba ya Kikundi,
inayolenga kuwawezesha watu wanaokusudia kufikia malengo ya kifedha ya
p...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment