Maziri
Mkuu Mizengo Pinda akiongoza mamia ya waombolezaji kutoa heshima za
mwisho katika msiba wa mke wa Mheshimiwa Jaji Damian Lubuva. Marehemu
MARTHA PETER LUBUVA nyumbani kwake mtaa wa Bagamoyo Oyterbay jijini Dar
es salaam leo. Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akikutana na Balozi mteule wa Tanzania nchini
Malysia Dr Azizi Ponary Mlima ofisini kwake Jijini Dar es salaam leo
ambapo mefanya mazungumzo naye.
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)
WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA NA TPSF ZAFANYA KIKAO CHA MAJADILIANO
-
*Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara imekutana na kufanya
mazungumzo na Uongozi wa Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF)
Januari 22,2...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment