Pages

Thursday, January 9, 2014

YULE CAMERA MAN MKALI NDANI YA BONGO MOVIE "KABUTI ONYANGO" KAONYESHA UWEZO WAKE MWINGINE MKUBWA KWA KUTENGENEZA VIDEO ZA GOSPEL JIONEE HAPA

CAMERA MAN KABUTI ONYANGO AKIWA BIZE NA KZI YAKE YA KUSHOOT NDANI YA MOROGORO
MOROGORO NA ACCASIA SINGERS BAADA YA SHOOTING.YULE CAMERA MAN MKALI ANAYESUMBUA NDANI YA FILAMU ZA KIBONGO KWA UWEZO WAKE MKUBWA WA KUCHEZA NA KAMERA SASA AMEONYESHA UWEZO WAKE MWINGINE MKUBWA,NI PALE ALIPOFANYA VIDEO ZA GOSPEL NA KWAYA YA ACCASIA SINGERS,WAWEZAKUITAZAMA VIDEO HIYO HAPO CHINI UONE NI KWA KIASI GANI KABUTI ANAJUA ANACHOFANYA.

TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
  

No comments:

Post a Comment