Hii
ni ajali mbaya iliyohusisha basi la kampuni ya Penguin linalofanya
safari zake kati ya Makete - Njombe, baada ya kugongana na toyota land
cruiser jana Jumamosi Februari 22, katika kijiji cha Mang'oto wilayani
Makete
basi hilo lilikuwa likitokea Njombe
kwenda makete, hadi mwandishi wetu ambaye pia amenusurika kwenye ajali
hiyo anaondoka eneo la tukio, hakuna vifo ila baadhi ya abiria wamepata mchumbuko na wengine kukatwa na vioo (majeraha madogo madogo)
Taarifa kamili ya ajali hiyo pamoja na picha zitakujia baadaye kidogo, inaendelea kuiandaliwa ili uipate kikamilifu
No comments:
Post a Comment