
Akizungumza na Dodoma fm mratibu wa mpango wa maduka ya dawa
Bwana Richard Selube amesema kwa yeyote atakae gundulika kuwa
amefungiwa
duka lake la dawa lakini bado anauza dawa hizo atachukuliwa hatua
kali.Aidha bwana Selube amesema malengo ya baraza la dawa yalikuwa
ni kupandisha hadhi maduka yanayo kidhi vigezo na kuyafunga maduka yote
yasiyo na vigezo pamoja na kuyapokonya dawa.Sanjari na hayo ameongeza
kuwa
baraza la dawa linatoa dawa ambazo hazistahili kuwepo katika maduka ya
dawa na kuzikabidhi zote katika manispaa husika.na dodoma fm
No comments:
Post a Comment