
Kada
wa umoja wa Vijana mkoa wa Morogoro Daniel Richard aliyelazwa wodi
namba moja katika hospitali ya mkoa wa Morogoro baada ya Chadema
kuwavamia na kuanza kuwapiga wakati wakitoka katika kampeni ndogo za
udiwani kata ya tungi Manispaa ya Morogoro.

Katibu
wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Lomuli akijadili jambo na viongozi wa CCM
wilaya ya Morogoro mjini nje ya wodi namba moja walikokwenda kumwona
kada huyo.

Huyu
ni miongoni mwa vijana 80 wanaodaiwa kuletwa manispaa ya Morogoro
kwaajili ya kufanya vurugu wakati wa kampeni za uchaguzi wa udiwani
tungi, alikamatwa baaada ya kumpiga mmoja wa makada mjini hapa ambaye
amelazwa Hopitali ya mkoa,
Hii

Hii ni pikipiki aliyokmatwa nayo kijana huyo wa Chadema wakati wa vurugu hizo akiwa chini ya ulinzi wa polisi

Hii ni pikipiki aliokamatwa nayo mfuasi huyo wa Chadema ikiwa na nambo ya chama hicho.

Pikipiki hiyo ikiwa ndani ya gari la polisi

No comments:
Post a Comment