Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Jumbe Mangu akisisitiza jambo
kwenye mkutano Mkuu wa Maofisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi
unaofanyika katika Chuo cha Taluma ya Polisi Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Mkutano huo umebebwa na kauli mbiu isemayo “Zingatia Weledi katika Kutoa
Huduma Bora Kwa Jamii”.
Kamishna
wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi (CP) Paul Chagonja
akisisitiza kwa Makamanda wa mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi kufanya
kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu hususani katika
kushughulikia migogoro, kwenye mkutano Mkuu wa Maofisa Wakuu Waandamizi
wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi
mkoani Kilimanjaro. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi
No comments:
Post a Comment