Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, February 1, 2014

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL) PAMOJA NA OFISI ZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO

IMG_0146Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mama Edwina Lupembe akiongea na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu .  Kulia ni  Katibu Mkuu  wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Patrick Makunguna; kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dkt. Kamugisha Kazaura.IMG_0130Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Prof. Juma Kapuya. IMG_0155Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dkt Kamugisha Kazaura(aliyesimama)  wakati akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya Mkongo wa Taifa wa TEHEMA kwa wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu . IMG_0170Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakifuatilia maelezo namna kituo cha uangalizi wa Mkongo wa taifa wa Mawasiliano kinavyofanya kazi. IMG_0198Mkuu wa Uendeshaji na matengenezo ya Mtandao wa TTCL Mhandisi  Enocent Msasi (kushoto) akitoa maelezo kuhusu mtambo wa DWDM ambao unasafirisha mawasiliano kwa njia ya mwanga kutoka eneo moja kwenda jingine. IMG_0202Picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment