KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL) PAMOJA NA OFISI ZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO
Kaimu
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL)
Mama Edwina Lupembe akiongea na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Miundombinu . Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi
na Teknolojia Prof. Patrick Makunguna; kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa
TTCL Dkt. Kamugisha Kazaura.Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Prof. Juma Kapuya.Afisa
Mtendaji Mkuu wa TTCL Dkt Kamugisha Kazaura(aliyesimama) wakati
akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya Mkongo wa Taifa wa TEHEMA kwa
wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu . Wajumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakifuatilia maelezo namna
kituo cha uangalizi wa Mkongo wa taifa wa Mawasiliano kinavyofanya kazi.
Mkuu
wa Uendeshaji na matengenezo ya Mtandao wa TTCL Mhandisi Enocent Msasi
(kushoto) akitoa maelezo kuhusu mtambo wa DWDM ambao unasafirisha
mawasiliano kwa njia ya mwanga kutoka eneo moja kwenda jingine. Picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment