Pages

Wednesday, February 19, 2014

KIJANA AUA MAMA YAKE KWA JEMBE HUKO KAHAMA,TUNAOMBA RADHI KWA PICHA

Katika hali ya kusikitisha ,kuhuzunisha na isiyokuwa ya kawaida kijana mmoja mkazi wa kijiji cha Mwakuhenga wilayani Kahama mkoani Shinyanga amemuua mama yake kwa kumkata na jembe kichwani na kusababisha kifo chake.
Habari kutoka Kahama zinasema tukio hilo limetokea jana majira ya saa mbili usiku na chanzo halisi cha tukio hilo bado hakijajulikana.

Habari kamili kuhusu tukio hili tutakuletea kupitia kwenye blog hii

CHANZO: MALUNDE BLOG

No comments:

Post a Comment