Mwanadada Jide kwa sasa yupo kwenye mazoezi ya Karate ili kuuweka mwili wake uwe vizuri na ujijenge kwa lolote litakalokuwa likitinga mbele yake ili akabiliane nalo. Jide akitumia account yake ya Facebook ametupia picha hizi ambazo ziko hapa akiwa na vazi jipyaaaaaaaa kabisa tayari kwa kuyamudu mazoezi hayo.
No comments:
Post a Comment