Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Balozi Zambia nchini Tanzania Bi, Judith Kangoma
Kajimpanga aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais jana
mchana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Balozi waZambia nchini Tanzania B,i Judith Kangoma
Kajimpanga aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais jana
mchana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Balozi wa Oman nchini Tanzania Soud Ali Mohamed
aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais jana
mchana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
BALOZI NCHIMBI NA MONGELLA WAMTEMBELEA MZEE MANGULA
-
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John
Nchimbi, akiambatana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Ndugu John
Mongella, amemtembe...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment