Waendesha
pikipiki za kusafirishia abiria maarufu kama Bodaboda wakuwa
wameziegesha katika kituo cha Daladala cha maktaba ya ualimu kilichopo
Chuo kikuu kikuu cha Dodoma (UDOM), madereva haowamelalamikia
kunyanyaswa na walinzi chuoni hapo kwa kukamatwa na kutishiwa kuvunjwa
miguu bila sababu za kueleweka.
Madereva
wa Bodaboda wakiwa wamekusanyika pamoja wakijadiliana jambo wakati
wakifikili nini cha kufanya baada ya kuona askari walinzi wa chuo kikuu
cha Dodoma ( UDOM) Kuwafukuza na kuwataka kutopakilia Abiria katika
kituo hicho kilichopo katika majengo ya mchepuo wa elimu.
Mmoja wa
viongozi wa waendesha Bodaboda wanatoa huduma ya usafiri ndani na n je
ya chuo hicho akiwagawia funguo za pikipiki zao baada ya jana kutotoa
huduma hiyo kwa zaidi ya saa 7 wakijadili nini cha kufanya baada ya
kutakiwa kutopakilia abiria katika kituo hicho kilichopo chuo cha elimu
ndani ya UDOM Dodoma.
Moja ya
Barabara zinazoingia katika jengo la utawala la chuo kikuu cha Dodoma
(UDOM) inavyoonekana barabara hizo inalalamikiwa na uongozi wa chuo
hicho kutumiwa vibaya na waendesha Bodaboda ikiwemo mwendo kasibila
kufuata sheria.
(PICHA NA JOHN BANDA)
No comments:
Post a Comment