Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, February 12, 2014

MAKONDA WA DALADALA KENYA WAOGESHWA HADHARANI JI0NEE

Hii unaambiwa imetokea Kisumu Ndogo, Donholm nchini Kenya Ijumaa iliyopita. Makonda hao walilazimishwa kuoga hadharani kwa kinachaodaiwa wananuka. Wateja wamekuwa wakilalamika kwamba makonda hawa wananuka na hivyo kuathiri biashara. Makonda hao waliogeshwa huku wadau wakishushudia na kuhakishiwa usafi kwa makonda itakuwa ni swala la lazima.

No comments:

Post a Comment