Hii unaambiwa imetokea Kisumu Ndogo, Donholm nchini Kenya Ijumaa
iliyopita. Makonda hao walilazimishwa kuoga hadharani kwa kinachaodaiwa
wananuka. Wateja wamekuwa wakilalamika kwamba makonda hawa wananuka na
hivyo kuathiri biashara. Makonda hao waliogeshwa huku wadau
wakishushudia na kuhakishiwa usafi kwa makonda itakuwa ni swala la
lazima.
No comments:
Post a Comment