Mchezaji
wa Kimataifa Emmanuel Okwi amesimamishwa kucheza Soka kwa Muda Kutokana
na matatizo ya Uhamisho wake kutoka Simba kwenda Tunisia,Pia Kutoka
Tunisia kuja yanga.Hivyo TFF ipo kwenye utaratibu wa Kuhakikisha
Mchezaji huyo anapata haki zake na anarejea kwenye Soka kama kawaida
yake.
RAIS SAMIA ATOA AJIRA ZA WALIMU 14,648 KUPUNGUZA UHABA WA WALIMU NCHINI.
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
Imeelezwa Kuwa Kuanzia tarehe 14 Januari hadi terehe 24 Februari, 2025,
usaili wa kada za Ualimu utaendeshwa na Ofisi...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment