Pages

Wednesday, February 12, 2014

Mchezaji Emmanuel Okwi alichokiandika kwa Mashabiki Wake

 

Mchezaji wa Kimataifa Emmanuel Okwi amesimamishwa kucheza Soka kwa Muda Kutokana na matatizo ya Uhamisho wake kutoka Simba kwenda Tunisia,Pia Kutoka Tunisia kuja yanga.Hivyo TFF ipo kwenye utaratibu wa Kuhakikisha Mchezaji huyo anapata haki zake na anarejea kwenye Soka kama kawaida yake.

No comments:

Post a Comment