Polisi wa
jijini Manchester wamethibitisha habari hiyo saa moja kabla ya kuanza
kwa mchezo huo huku kukiwa na upepo mkali ambao umeufanya mchezo huo
kughairishwa na kutokana masuala ya usalama.
Nahodha wa City Kompany aliandika kwenye Twitter: "Mchezo umeigharishwa. Hakikisha unarudi nyumbani salama, hali ya hewa sio nzuri.
Nahodha wa City Kompany aliandika kwenye Twitter: "Mchezo umeigharishwa. Hakikisha unarudi nyumbani salama, hali ya hewa sio nzuri.
No comments:
Post a Comment