Mwili wa mtoto John Mwapwani (4) aliyefariki majira ya asubuhi baada ya kutumbukia kwenye tundu la choo nyumbani kwao mtaa wa Sikanda kata ya Chemchem eneo la Ally Hassan Mwinyi ndani ya Manispaa ya Tabora ukiwa unapandishwa kwenye gari la polisi.
Inasemekana kuwa mtoto
huyo mara baada ya kuamka asubuhi ,baba yake mzazi alimwambia aende
chooni kujisaidia kama ilivyo ada kwa wazazi wafanyavyo kwa watoto
wao,Mtoto John(4)alikwenda chooni.
Baada
ya kimya cha muda mrefu kutawala baba wa mtoto huyo alielekea sehemu
ya choo,lakini katika hali ya kusikitisha alikuta mwili wa mtoto huyo
ukielea kwenye maji machafu akiwa tayari amepoteza maisha.
No comments:
Post a Comment