Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, February 2, 2014

NAIBU WAZIRI MAJI ARIDHIKA NA MRADI WA VISIMA VIREFU MPERA NA KIMBIJI

IMG_0754Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala mwishoni mwa wiki aliendelea na ziara ya siku tano ya kuangalia miradi ya maji jijini Dar es Salaam na Pwani, ambako alifika Kimbiji na Mpera kuangalia mradi wa visima virefu vya maji.
IMG_0808Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala akisikiliza maelezo kutoka kwa Inj. Romanus Mwang’ingo wa DAWASA (kushoto ktikati) katika kisima cha Kimbiji na Mkurugenzi wa DAWASA, Archad Mutalemwa (katikati) akisikiliza.IMG_0817Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala akifungua maji katika mradi kisima cha Kimbiji, akiwa na Mwenyekiti wa Mtaa wa Kichangani, Mbegu Miraji.IMG_0844Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala akisikiliza maelekezo kutoka kwa Mkandarasi kuhusu kisima cha Kimbiji.IMG_0881Mradi wa maji wa kisima cha Kimbiji chenye mita 600 kikiwa katika mchakato wa kuchimbwa
IMG_0790Mkurugenzi wa DAWASA, Archad Mutalemwa akimuonyesha Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala kisima cha Mpera.

No comments:

Post a Comment