Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Sekretarieti katika Jengo la White House la Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma kuongoza kikao maalum cha Hamlashauri Kuu ya Taifa (NEC). Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana |
Rais Jakaya Kikwete, Rais Dk. Shein na Kinana wakiwa wamesimama kuongoza wajumbe ambao pia walisimama kuwakumbuka viongozi waliofariki hivi karibuni |
Wajumbe Makamu wa Rais Dk. Bilal na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiwa ukumbini |
Wajumbe wakiwa ukumbini |
Wajumbe ukumbini |
Naibu Katibu Mkuu wa CCM na Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akiteta jambo na mjumbe mwenzake |
Wajumbe ukumbini |
Wajumbe wakiwa ukumbini |
Wajumbe na Makatibu wa Sekretarieti wakiwa ukumbini. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa UVCCM, Sixtus Mapunda, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk Ash-Rose Migiro, Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Mama Zakia Meghji na katibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Taifa |
Taswira ya wajumbe ukumbini wakati JK akiongoza kikao |
Katibu Mkuu wa UVCCM mstaafu, Shigela na Katibu Mkuu wa UVCCM wa sasa Mapunda wakichati ukumbini |
Mwigulu Nchemba na Nape wakiteta jambo |
Wajumbe ukumbini |
Wajumbe ukumbini |
Wajumbe Spika wa Bunge Anna Makida na Spika wa Barza na wawakilishi Mzee Kificho wakiwa ukumbini |
Ma-Ankali wakiwa ukumbi wa NEC wakati kikao hicho kinafunguliwa na JK |
Wajumabe Shamsivuai Nahodha na Ally Karume wakiteta jambo nje ya ukumbi; Imetayarishwa na theNkoromo Blog |
No comments:
Post a Comment