Pages

Wednesday, February 19, 2014

pinda akiwa na wajumbe wa bunge maalumu la katiba mjini dodoma leo

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba , Mhe. Saidi Mohamed Mtunda (katikati) na Mhe. Subira Mgalu kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wajumbe wa  Bunge Maalum la Katika kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Mhe. Dominick Lyamchay, Mhe. Rashid Mtuta, Mhe. Consitantine Akitanda na  Mhe. Fahmi Dovutwa. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment