Pages

Thursday, February 13, 2014

MKUU WA MKOA WA DODOMA DR REHEMA NCHIMBI AMELITAKA JESHI LA POLISI MKOANI DODOMA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA KUFUATIA BUNGE LA KATIBA LINALOTARAJIA KUANZA WIKI IJAYO.


Akizungumza na Jeshi la Polisi Dr Nchimbi  amewataka kufanya vizuri  katika kuhudumia na kutumikia Bunge la Katiba ili kukabiliana na changamoto ambazo zinaweza kujitokeza.

Aidha Dr.NChimbi   amelitaka Jeshi la Polisi kutoa ushirikiano kwa  Wageni  kutokana na  ongezeko la  idadi  kubwa ya watu  ambao hujitokeza  wakati  wa  bunge la katiba.
Kwa upande wake  Kamanda wa Jeshi  la  Polisi  Mkoani Dodoma  David  Misime amesema jeshi hilo lina mikakati ya kutekeleza yote waliyopanga  katika mipango yao kwa mwaka huu.na Dodoma Fm
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)

No comments:

Post a Comment