Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, February 15, 2014

RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA AHUDHURIA MAONYESHO YA PICHA ZA KAZI ZA AGA KHAN DUNIANI


 Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akiwasalimia baadhi ya viongozi, alipowasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, yanakoendelea maonyesho hayo ambayo yanafanyika kwa mara ya kwanza hapa Tanzania. Anayempa mkononi Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM.
 Mzee Mkapa akiingia ukumbini
 Mzee Mkapa akizungumza na kutoa nasaha zake
Waalikwa wakimsikiliza Mzee Mkapa

No comments:

Post a Comment