KUMEZUKA sitofahamu kuhusu hali ya rais wa Zambia Michael Sata baada
ya Ikulu kutoa taarifa zinazojkinzana na tetesi izlizopo mtaani kwamba
rais huyo ni mgonjwa na yupo nje kwa matibabu.
Msemaji wa rais sata, George Chellah amesema kwamba ni kweli Rais
ameondoka nchini humo lakini yupo katika likizo ya kikazi nchini
Uingereza.
Hata hivyo taarifa za Zambia Reports zinasema kwamba taarifa hiyo
inaficha ukweli kwamba rais huyo anaumwa na amekwenda Uingereza kwa
uangalizi wa afya yake.
Imeelezwa kwamba kumekuwepo na usiri mkubwa juu ya hali ya afya ya Rais huyo.
Ifuatayo ni taarifa kamili ya Ikulu ya Zambia
TATE HOUSE
LUSAKA
THE REPUBLIC OF ZAMBIA
Media Statement
For Immediate Release
PRESIDENT SATA ARRIVES IN LONDON
LONDON, Sunday, February 2, 2014 – His Excellency, Mr. Michael Chilufya Sata, President of the Republic of
Zambia, has arrived in London, United Kingdom for his working
holiday. Zambia’s High Commissioner to London, His Excellency, Mr. Paul
Lumbi and the local diplomatic staff received the Head of State at
London Heathrow Airport last evening.
The Head of State, who is accompanied by First Lady Dr Christine
Kaseba left Addis Ababa, Ethiopia for aworking holiday in the UK after
the official closing of the 22nd Ordinary Session of the African Union
(AU) Heads of State and Government Summit on Friday evening.
Whilst in Ethiopia, President Sata held successful meetings of mutual
interest and benefit to the country with various international groups
and agencies as well as Heads of State and Government in and around the
continent. The President is expected back home after his working
holiday.
Issued by:
GEORGE CHELLAH
SPECIAL ASSISTANT TO THE PRESIDENT
PRESS AND PUBLIC RELATIONS
No comments:
Post a Comment