Msemaji
wa wizara ya mambo ya nje nchini Uganda anasema nchi inajukumu muhimu
katika juhudi za kieneo za kutatua hali ya usalama nchini sudan Kusini
licha ya ukosoaji kwamba serikali ya Kampala inadumaza mashauriano ya
amani yanayoendelea nchini Ethiopia kati ya pande hasimu.
CHANZO:VOA
No comments:
Post a Comment